Stori ya kuvutia ya Klabu ya AS Roma ya Italia

measles

New Member
Feb 26, 2019
2
7
Natumain uzima upo humu ndani,

Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Ukiwa mfuatiliaji wa mpira wa miguu logo ya As Roma inaonesha Bweha akiwa na watoto wawili wanaonyonya. Hawa ni mapacha (Romulus na Remus) kabla kuzaliwa kwao walikuwepo watoto wawil wa kiume wa mfalme katika jiji hilo.

Mfalme aitwae NEUMATOUR hulisisha ufalme kwa mwanae wa kwanza wa kiume hivyo mtoto wa pili wa mfalme aitwae AUMONILUS aliamua kumuua kaka yake ili aweze kuurith ufalme na pia aliamua kumchukua mke wa kaka yake na kumpeleka kwenye temple awe kama masister ili asiweze kuzaa tena na watoto wake wasije kumsumbua miaka ya mbeleni.

Alifanikisha nia yake lakini baada ya kipindi kichache alisikia kuwa yule shemeji yake aliekua mke wa kaka yake amejifungua watoto mapacha ambao ndo Romulus na Remus, AUMONILUS ambae alikua ndo mfalme kwa muda huo aliunda mbinu ya kuwauwa wale watoto kwa njia asili kwa kuwatupa kwenye Mto maana iliaminika kuwa ukiwauwa utapata mikosi.

Alifanikiwa kuwatupa mtoni kwa kutumia wafanya kazi wake. Cha kustaajabisha waliweza kulelewa na bweha hadi walipofikia umri fulani wakachukuliwa na mtu baada ya kuwaona wakiwa wanacheza aliwalea na kuwakuza. Walikua maarufu baada ya kuweza kuwakimbiza wezi mtaani kwao na kuvirudisha kwa wahusika.

Habari zilienea kote na kumfikia babu yao jijin kote na kutaman awaone hao watu na alipowaona alibain kuwa wnafanana sana na mkwe wake ambae n mama yao na walipomueleza kuhus story yao alibain kuwa ni wajukuu zake na akawaambia wamuokoe mama yako na pia wakafanikisha kuurudisha ufalme kwa babu yao ili baadae aweze kuwapa tena pale atakapo kufa.

Walipata umaarufu mkubwa na ndipo wakajiuliza waupe jina gan mji huo,Romulus alitaka uitwe Rome na Remus alitaka uitwe Rem hivo kusababisha vita kal baina yao na ikapelekea kufarik kwa Remus na Romulus akauita mji huo Rome kwa kiswahil Roma na ndo maan As Roma wanaweka logo ya bweha na hao watoto wawili



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini As?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…