Stop worrying about today

Na huku una njaa, madeni, ada ya shule, kodi ya nyumba, magonjwa, wezi, %@&@#
Reality ni kua haya maisha yetu ndio yapo hivyoo misuko suko kibaoo,, ila lengo la hayo maneno ni kua hata ukiwazaa weeee , ukijipa stress weeee , itasaidia kitu gani zaidi ya kukuumiza zaidi? , ni kheri ukae chini ujiulize lineshaatokea tunafanyaje sasa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom