Stop lines kwenye kila zebra crossing? Think again!!

povu la nini kwa usalama barabarani?
 
Kusengelikua na hizo alama za kuwalazimisha kusimama madereva wengi wa kitanzania wasingesimama kuwapisha waenda kwa miguu hata kama wanaendesha kwa 20km/h!! Pili watu wangekua wanatumia kila sehemu kuvukia barabara, jambo ambalo ni hatari kwao lakini ingekua usumbufu zaidi kwa madereva, uwepo wa zebra unawarahisishia waenda kwa miguu kujua sehemu salama za kuvukia hata kama magari yanakwenda mwendo wa taratibu
Kwenye suala la kusimama kwenye zebra hata kama hakuna wavukaji hapo sielewi polisi wanatumia kigezo gani, lakini inawezekana wameona madereva wengi hawawezi kutii huo utaratibu bila shuruti hivyo wameamua kuwa mwarobaini ni usimame kila sehemu
 
Kwanza hiyo zebra ya kwenye picha sidhani kama ipo sehemu sahihi.
 
Vibao vinakwepo tatizo haipiti week vishagongwa na kwenda kuuzwa kwako wachomeleaji.
 
Nanyie hamnazo, zebra wako mikumi sie tunaweka zebra crossing mwananyamala!
 
Nchi kama Marekani usiposimama kwenye zebra ni faini kali. Tujifunze kutii sheria zote za barabarani kuepusha ajali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…