Stop charging in USD Directives

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
20,158
Reaction score
35,712
Wanabodi,

Mwenye circular au maelekezo ya kina juu ya tozo zote kuwa in Tanzania shillings except kwa baadhi ya vitu naomba atuwekee hapa ili tuelewe vizuri. Hizo exceptions zinaleta mushkeli kidogo (zinahitaji tafsiri zaidi).

Naona huku kitaa kila mtu anatafsiri kauli ya waziri anavyotaka. Yanahitajika maelezo ya kina kidogo hasa kwenye international transactions.

Lengo ni kuelewa na kutii sheria bila shuruti πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…