Mangungu na Matola..Simba tumebakiza kumfukuza mangungu timu ikae mkaoo..tukimleta kocha mzuri na wakati bado mangungu yupo pale ni fedheha.
Mangungu kosa lake lipiSimba tumebakiza kumfukuza mangungu timu ikae mkaoo..tukimleta kocha mzuri na wakati bado mangungu yupo pale ni fedheha.
Wepinzani wanaleta makocha wa maana sie tunaleta muoka mikate....
Vipi kuhusu yangaLolote baya liwakute simba
Simba imesaliti wengi sana kuanzia oktoba 29 2025 na laana ya kufanya vibaya iwe juu yao
Wapo waliochangia CCM 10B na 100M. Hao wengine walichangia SHING' ngapi?SIMBA YANGA NI WASALITIIII PERIOD
Oya nitapasua mtuSimba tumebakiza kumfukuza mangungu timu ikae mkaoo..tukimleta kocha mzuri na wakati bado mangungu yupo pale ni fedheha.
Nishaacha kushabikia Simba....huyo kocha mwezi March 2026 wanampiga chini pia,wakati huo michezaji ndio ileile mipoteza Chance za kufunga,mikosa utulivu wawapo jirani na lango la mpinzani, mibinafsi kina Mpanzu,na kibu D,
Kwa wachezaji mlionao dizaini ya kina Mpanzu,kibu D, mukwala, mutale, Hata aje kocha Gardiola mtamtimua tu!Simba tumebakiza kumfukuza mangungu timu ikae mkaoo..tukimleta kocha mzuri na wakati bado mangungu yupo pale ni fedheha.
Wanacheza namba ngapi hawaMangungu na Matola..
Kama Patrick Rweyemamu na Selemani Matola bado wapo kocha huyu miezi sita hamalizi.
Kwa wachezaji mlionao dizaini ya kina Mpanzu,kibu D, mukwala, mutale, Hata aje kocha Gardiola mtamtimua tu!
Madrid walibadili mtaalamu wa Chakula kwa sababu ya wachezaji kutokua imara kwenye kupambania mpira huyo Dr anacheza namba ngapi inatakiwa ujue mpira sio kuandika andika tu vitu..Wanacheza namba ngapi hawa