Stering wa mapenzi

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
12,788
Reaction score
8,755
Natumaini mu wazima wa afya njema, upande wangu niko powa Mungu ananilinda kila iitwapo leo, nahitaji kujuzwa kuhusu hili kuwa kwenye MAPENZI STERING nani hasa kati ya Mwanamke na mwanaume? kwanini MWANAMKE akikojoa mapenzi yanaendelea ila MWANAUME akikojoa mchezo ndo UNAISHIA HAPO?? Naombeni majibu walaamu wangu!!
 
Mapenzi ni dhana pana...sasa hapa binafsi sijajua, umelenga mapenzi kama mbadala wa neno ngono au mapenzi kwa mantiki ya mahusiano?
 
haya ukipata jibu la stering pia utuambie adui nani,producer,cameraman,distributor
 
Kwa namna ulivyouliza, jibu ni wazi kuwa mwanaume ndio stearing kwani hata ktk gari dereva akishuka ndio mwisho wa safari, ila abiria au konda akishuka safari inaendelea.
 

dereva ndo sterling ,wengine ni fake
 
siku zote anaeuliza swali anakua na jibu zuru kuzidi ya anayemjibu xaxa 2pe majibu yako kwanza nac 2tililike majibu ye2!
 
kakuambia nani mwanaume akikamilisha tu mchezo umeisha??

mimi nasikiaga sana huu msemo ila sio wa kweli kabisa coz mm ni mwanaume na najijua nilivyo na huwa nikikojoa ndo nakuwa nipo sawa zaidi kuku make happy!!

kwa mtazamo wangu katika hii game yoyote anaweza kuwa steling kulingana na upambanaji wake!!!
 

Okay...
Kwanza tambua kwamba tendo la ngono ni sanaa, wakati mwingine huwa nalimithilisha na namna muziki unavyochezwa na partners wawili...

Ni tukio ambalo mwisho wa siku lazima kila mmoja awe amechangia sawasawa na nafasi yake...

Je huwa kuna anayeongoza na anayeongozwa?
Yes binafsi naamini hivyo, ingawaje kwa kila wakati lazima awepo muongozaji lakini most of the time mwanaume ndiye apaswaye kuongoza jahazi. Sababu ya kimaumbile zaidi ndio inamfanya mwanaume awe leader.
Put in mind, different sex positions ndiyo inayo determine who should be in control.

Who comes first?
Wote wawili hupaswa kufika kwa pamoja.

Ushauri.
Talk to your partner na mjifunze kucheza wote katika kila hatua hadi mshindo.
 
muwe mnaviziana, mmoja akiwa stering mwingine inabidi awe adui

Sex has never ever been an act of war neither battle to take control...

Maongezi huwa yanaruhusiwa in between...change of game plan huwa inaruhusiwa etc
 


nimekuelewa mkuu nadhani leo hii jioni vikao vitaanza
 
Sex has never ever been an act of war neither battle to take control...

Maongezi huwa yanaruhusiwa in between...change of game plan huwa inaruhusiwa etc

shemeji, hapa nafikiri alimaanisha kwamba nani awe kinara wa game. sasa wote hamuwezi shambuliana kwa wakati mmoja bana itakuwa fujo plus plus. mmoja inabidi awe mpole dizaini. lol, sex vita ujue, vifaa vya vita vote vipo na akili nguvu lazma vitumike... mwisho wa siku kijasho kinakutoka. teheeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…