Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,957 Nov 18, 2014 #1 Baadhi ya sehemu katika kituo zilizoharibika. TAKRIBANI miezi kadhaa toka stendi mpya ya Makumbusho ianze kufanya kazi baada ya ile ya Mwenge kuhamishwa, leo kamera yetu imenasa baadhi ya sehemu zikiwa zimeanza kuharibika. Haijafahamika kama hali hiyo inatokana na uchakachuaji wakati wa ujenzi wake au ni uzito wa magari yanayopita hapo. (Habari/Picha: Gabriel Ngosha/GPL) Attachments 1.jpg 62.5 KB · Views: 272 2.jpg 64.5 KB · Views: 269 4.jpg 70.2 KB · Views: 269
Baadhi ya sehemu katika kituo zilizoharibika. TAKRIBANI miezi kadhaa toka stendi mpya ya Makumbusho ianze kufanya kazi baada ya ile ya Mwenge kuhamishwa, leo kamera yetu imenasa baadhi ya sehemu zikiwa zimeanza kuharibika. Haijafahamika kama hali hiyo inatokana na uchakachuaji wakati wa ujenzi wake au ni uzito wa magari yanayopita hapo. (Habari/Picha: Gabriel Ngosha/GPL)
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,989 Reaction score 5,510 Nov 18, 2014 #2 Hayo ni madhara ya 10% na bado