Rafiki inawezekana una point, lakini ulivyoianza, na timing yake sio sahihi sana sana unataka kuanzisha zogo hapa!! jiendae !! nashauri uiondoe tu, muda sio muafaka!! Leo watu mawazo ni X mass halafu unaanza mahubiri utaning'inizwa!! ni kwanini mwaka mzima hukuileta hapa?
Ni sawa sawa na mtu anakwambia mwanamke au mwanaume uliye naye ana kasoro a, b, c, wakati ushaonja utamuu weee tena mtu anakwambia hayo wakati unajaindaa kwenda kumega, utamuelewa? sana sana atakuona mzushi tuuuu.