Nimesoma kuwa mtu mmoja kafungua kesi huko SA akitaka ndege ya ATCL ikamatwe kwa sababu anaidait Tanzania mali zake zilizotaifishwa na Nyerere mwaka 1967. Je Statute of Limitations hafanya kazi kwenye mazingira haya. Ataletaje kesi ya miaka 52 leo- hata miaka 10 tu, kwani hata ushahidi hauwezi kuwa verified tena?
Haya wanasheria , toeni ufafanuzi, hii imekaaje?