Status za WhatsApp zinatuonesha jinsi tulivyo na tunajichora tu kwa wengine

Haya maisha ukijifanya uko serious sana utaishi kwa masononeko sana enjoy life have funy status imegeuza utaratibu wa zamani wa kukaa na kupiga soga which hata mababu zetu walifanya binafsi mwenye negative thoughts juu ya status haendani na maendeleo ya technologia na ni tabia za kiajuza coz wazee wapo wanao enjoy kuview status za watu wao. Ukikataa njoo unipige mawe
 
😅😅Utani wa jadi huo
 
Mbona uwekaji au usomaji wa status ni moja ya njia za kufikisha tu ujumbe kwa mtu au watu wanaozi-view na zipo nyingi tu ambazo zinaelemisha au kuburudisha. Ni moja ya njia ya kujumuika na jamii japo kuna status nyingine zinakera. Hakuna sababu ya kuyafanya maisha kuwa magumu kiasi hicho.
 
Hii comment ifunge huu uzi..umemaliza kila kitu
 
Hahaaa.. umenichekesha hapo kwenye kuku kupandwa.

Ila kwa haya maandishi nimegundua kuna uwezekano mkuu wewe bado mdogo ndio maana una insecurity za kawaida sana.
 
Na huu bado ni uwoga/insecurity au utoto.
Kwanini upost vitu unavyohisi kuna baadhi ya watu wasingependa kuviona na wewe hauko tayari waone?
Don't hide jitahid upost vitu unavyohis yeyote akiona ni fine kwa upande wako.
DUNIA HAINA SIRI.

Japo na Mimi huwa nikipost biashara zangu nahide Wazee wasione wakaninyima mgao wangu kwa kigezo cha kua najimudu🤣 Japo siuzi bangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…