baraka mas
Senior Member
- Dec 3, 2022
- 139
- 471
Sorry hii inabidi I download apps???Kwa uelewa wangu mdogo...
Mtu yoyote Selected for Null huyo ni mtu alifaulu usaili wa Written kwenda Oral.
Not Selected for Null,Huyu ni mtu ambaye hakufaulu usaili wa Written Kwenda Oral.
Hivyo kwenye APP ndio inakuwaga hivyo.
Hamnaga not Selected for Null kama ulifanya Oral kwenye App...Kwenye App lazima isome Selected For NUllUkiingia oral inakuandikia selected for oral lakini after oral web inasoma shortlisted na Kwenye app inasoma selected for null au not selected for null na hapo umefanya oral interview
Punguza ubishi kwako haijawai kukuta kuna not selected for null tena kwa RED inkHamnaga not Selected for Null kama ulifanya Oral kwenye App...Kwenye App lazima isome Selected For NUll
Exactly ipo hiviUkiingia oral inakuandikia selected for oral lakini after oral web inasoma shortlisted na Kwenye app inasoma selected for null au not selected for null na hapo umefanya oral interview
Kwahyo haya mabadiliko yanatokea wakati mkeka wa kuitwa kazini unapokaribia...?Kwa uelewa Wangu kwenye Web tu ukifanya Oral inakuandikia Shortlisted hapo inamanisha usaili umefaulu suala hapo inategemea na ufauulu na idadi ya nafasi
Ikibadilika na kuwa selected for oral tena subiri mkeka wa placement upo njiani na kila kitu kimekamilika
Ikiwa not shortlisted....inajieleza ila mkeka ukikaribia wote mnakuwa selected for oral
Yeah na mara nyingi huwa hivyoKwahyo haya mabadiliko yanatokea wakati mkeka wa kuitwa kazini unapokaribia...?
Wanaofeli oral wanaandikiwaje statusKwa uelewa Wangu kwenye Web tu ukifanya Oral inakuandikia Shortlisted hapo inamanisha usaili umefaulu suala hapo inategemea na ufauulu na idadi ya nafasi
Ikibadilika na kuwa selected for oral tena subiri mkeka wa placement upo njiani na kila kitu kimekamilika
Ikiwa not shortlisted....inajieleza ila mkeka ukikaribia wote mnakuwa selected for oral
Not shirtlistedWanaofeli oral wanaandikiwaje status
Mimi yangu ni zaidi ya wiki 2 Sasa Iko vilevile "Selected for Oral interview"Hivi ukishafanya Oral, status hubadika? Na je hubadika na kuleta kitu gani!! Na Kwa mda gani?
Waumini wa status mnaendelea kuupiga mwingi