SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 614
Stationary nyingi za hivyo zimejaa mabibo hostel, udsm chuoni na ubungo opposite na kituo cha mafuta kile zipo za kutosha
Kama kuna mtu ana stationary yake au anaijua stationary wanayoprint kwa bei nafuu (sh 100 per page) naomba anielekeze kwan nna shida ya kuprint kazi yangu yenye page nyingi ila nna hela kdogo ndo maana nataka sehem ya bei nafuu... Natanguliza shukrani
Unge eleza unapatikana maeneo gani ili uelekezwe vyema, kama mtu akisema iko sudan kusini je, utaenda?
Temeke karibu na temeke hospital

=Stationery