KABAKA28
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 211
- 229
Habari wana Jf.
Hongereni na poleni kwa maandalizi ya hizi "siku kuu" zinazo kuja.
Naomba nitambulishe kwenu biashara ninayoifanya.
Ninatoa huduma za kupiga picha kwenye mikutano mbalimbali, warsha, semina, makongamano n.k ya makampuni na watu binafsi (personal camera man).
Pia ninatoa huduma ya stationery kwa watu na makampuni tofauti tofauti hapa mjini Dar es salaam kampuni yangu inaitwa SOFT TECHNOLOGY TANZANIA
Kwa kifupi ni hivyo.
Lengo la kuja hapa ni kutafuta wateja ambao watanipatia kazi zao na nitazifanya kwa weledi.
1. Natafuta makampuni ya kuwapatia service ya ku supply stationery na huduma za picha na kumanage content za social media.
2. Natafuta watu wa kuwapiga picha (Personal Camera man) popote wanapoenda mimi nakuwa pale kuchukua matukio. (vifaa ninavyo)
Kama utabahatika kusoma post hii na unapenda kushirikiana na mimi labda ushauri, connection hata kunipatia kazi, tafadhali wasiliana na mimi kwa namba hii
0767 521 736
Instagram @softech_tz
KARIBUNI kwa ushauri na connection.
Jamani kumbuka ukiniconnect una 10% yako kwenye total sales.
Biashara kama ni yako utapata discount ya 10% ukilinganisha na alie kua anakupa hii huduma.
Huduma yangu ni ya uhakika na hauhitaji kunifatilia ukisha nipa kazi yako