Ukisikiliza hii video utaona kuwa, kutokana na Lipumba, kuwa Makubaliano yalikuwa ni yeye amuachie Kikwete ashinde ili mambo fulani waliyokubaliana Juu ya uenezaji wa uislam ayafanye JMK. Na kwamba sasa Kikwete (Bwana Mkubwa) amewaangusha. Je inawezekana hii ndiyo sababu mtu akifanya/akifanyiwa jambo akiwa Muislam reaction inakuwa tofauti na wengine ili "waislam wawe raia daraja la kwanza"?
Hii kitu ya Waislamu kuwa raia wa daraja la kwanza inanikumbusha Watu wasio waislam katika nchi za kiislam huwa daraja "B" kwa hiyo hutakiwa kulipa Jizya, kusilimu au kufa! What is hidden here? :A S-fire1: