Nimeona StarTv wamerudi hewani baada ya kufungiwa na TRA kwa kushindwa kulipa deni la kodi la bilioni 4 na nukta kadhaa
Diallo aliambiwa alipe angalau bil.2 akashindwa
Sasa nauliza hizo B 2 alizipata au bashite kafanya fair baada ya kuongea na babake ?
Au uchama wa CCM umemuokoa umefanya kazi hadi akafunguliwa nijuzeni jamanii