Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,202
- 218
This table summarizes the procedures and costs associated with setting up a business in Tanzania
http://www.doingbusiness.org/ExploreTopics/StartingBusiness/Details.aspx?economyid=185
This table summarizes the procedures and costs associated with setting up a business in Tanzania
http://www.doingbusiness.org/ExploreTopics/StartingBusiness/Details.aspx?economyid=185
You can find the procedures are very clear but when it comes to going through them, officials tend to complicate very much the processess!
naomba kujulisha mambo ya msingi ya kuzingatia kabla ya kufungua kampuni( private)
Mkuu maelezo hapo juu yamejitosheleza.Ila kwa siku hizi kila mfanya biashara/kampuni lazima awe na Tax Identification Number (TIN). Hiyo inatakiwa kwenye Leseni na pia kwenye kufungua Bank Account. Kwa hiyo baada ya kupata Certificate of incorporation lazima aende TRA kujiandikisha ili kupata TIN. Vitu vinavyohitajika hapo ni hivyo vilivyotajwa kwenye (9) hapo juuHujaeleweka vizuri ni nini hasa unataka hivyo sijui kama ntakuwa nimekusaidia. Kama ulimaanisha document na taratibu unazotakiwa kuzifuata kwa ajiri ya kufungua kampuni ipo hivi:
1. Tambua unataka kufanya biashara gani.
2. Je kampuni yako unataka iwe limited au partnership.
3. Pendekeza jina la kampuni yako.
4. Baada ya kuwa na majibu hapo juu. Andika barua Kwa msajili wa makampuni kucheki kama jina ulilopenekeza kuna mtu mwingine analitumia.
5.Normally inachukua 2days jina kutoka, kama hakuna anaetumia jina hilo utapewa go ahead kulitumia jina hilo.
6. Kama jibu la No. 2 hapo juu lilikuwa ni limited Company, andaa memorandum and Articles of Association 'MEMART' ya kampuni yako. Hii inaweza fanywa na Mwanasheria au mtu yeyote mwenye uzoefu but inabidi ipate baraka za Lawyer at the end.
7. Peleka MEMART kwa msajili wa kampuni kwa ajiri ya kusajiri kampuni yako.
8. Kampuni yako ikishasajiriwa utapewa Certicficate of Incorporation. Kimsingi hapa utakuwa tayari unakampuni inayotambulika kisheria but huwezi kufanya biashara yoyote.
9. Ili uweze kufanya biashara utatakiwa ukate leseni ya biashara sanjari na kufungua bank account ya kampuni. Hapa utatakiwa kuwa na physical address ya kampuni '' Office ya kampuni''.
10. Mambo haya yakiwa yamekamilika ruksa kufanya biashara kihalali.
Sijui kama nimekusaidia.
cheers
Mkuu BM21, hapo hata mimi umenisaidia ila ningeomba nikusumbue kido iwapo unaweza kwa lugha rahisi kabisa ukanifafanulia kampuni yangu ikiwa Limited inakuwaje na ikiwa Partinership inakuwaje...Natanguliza shukurani.
Ndugu wazalendo na wajasiriamali,
Kwasasa namiliki ekari 20 za ardhi huko kongowe kibaha mkoa wa Pwani, niko kwenye process za mwisho kupata hati miliki.suala lipo wizara ya ardhi kwasasa.
Shida kubwa nahitaji ushauri wa kibiashara na jinsi ya kupata capital ya hiyo biashara nitakayofanya kwenye ardhi hiyo.
Pia hata kama kuna mdau wowote anataka kuingia ubia basi namkaribisha.
natanguliza shukrani zangu za dhati.
you may contact me via the following mobile number,
+255 787 403865
+255 755 403865