Starting A business -25 milion.

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,558
Hey Members.

Am planning to quit my Current Employer for another Bread feeder.

I will be collecting my NSSF in six Months time worth above 25milion.

The truth is I really want to Plan beforehand on what to do with these Funds.

How can I use the funds productively(by investing somewhere of course)

My passion is running a guest house, But with this amount I even cant raise the foundation.

My Current thinking is to open up a Gym!, This is really not my passion But I have to opt on this due to Capital Limit.

Dear friends, do we have anyone here running this Business? Or Do any one have a different Idea on How I can Invest These funds?

Natanguliza sana shukrani wana Jamvi wenzangu.
 
Mkubwa kwa mahesabu ya haraka haraka, mradi wowote utakaoanzisha unatakiwa ukuingizie 140,000/- mpaka 150,000/- kwa siku.
Baada ya hilo ni ndio kujiuliza ni biashara gani.
Inaweza kuwa ya retail au wholesale, anzisha moja, ikikaa poa baada ya miezi 3, ongeza nyingine ya namna hio sehemu nyingine na nyingine na nyingine.
Usiogope kuwa utajimaliza nguvu kwa kuhaingaika na kwenda kwenye hizo ofisi au frames, mkuu kujiajiri naamini ni tofauti na kuajiriwa, huwezi kukaa kijiweni masaa kadhaa wakati muda wako unaweza kutumika kutafuta na kurudisha hela yako.
Biashara ya aina gani itategemea wewe mwenyewe umeona wananchi wanapenda kununua kitu gani na wanahangaika kukitafuta kila siku ya mungu. Ila uwe mwanagalifu, kama iko kitu unanua kwa 500 basi lazima ukiuze 1000 au 1250 ( kwa mark up ya 2 au 2.5 kwa kila item).
All the best.
 
Asanteh mkuu wangu.

Kwahilo la kujiajiri, Sio muda tu utakua unatumia vizuri, Even your Money, you will sepnd wisely!!!!!!!!!!
 
Nenda mji wowote au kitongoji chochote uangalie supply ya maji kama hakuna chimba visima roughly kimoja ni 3m after a while hela yako itarudi na visima utaendelea kuwa navyo. Maji ni muhimu ukiwa na visima 4 sh 50 kwa ndoo na kila kisima kinauza ndoo 200 sawa na sh 40000 kwa visima vyote kwa siku. Sababu maji hayana sikukuu wala jumapili then ktk siku 300 hela yako inarudi. Katika siku 300 utakuwa na visima 4 na sh zako 25m.
Kila la kheri.
 
Brother business is a little bit trick but if you have a passion and courage u gonna make it. Kaa chini fikiri, tafakari, panga, pangua na kisha karibu uwanjani. But siku zote kumbuka biashara ni wewe unayeweza kui run the next person is ur wife
! Najua utashangaa but that is the fact. Usipojari let us get in touch we gonna share the uzoefu mzee. Ninachokuhakikishia ukimanage hutojutia na hutokaa kubali ajiriwa tena
 
Hongera sana kwa kufikia uamuzi huo. Labda nishauri ujitahidi ku-diversify biashara na kuwekeza kiasi on a few alternatives vs. pesa yote on a gym. Nikiangalia comment yako, nisingekushauri kuwekeza on a gym hasa kama huna passion na hayo mambo. You are most likely to suceed if you are passionate about your business. When the going gets tough, sometimes passion is all you have to go on - against all odds hadi kieleweke. Labda uwekeze kiasi katika hiyo ya gym ikuweke mjini while you are searching for your niche/passion etc. Kama alivyosema mdau mwingine - angalia unachopenda, unachojua, kilichokosekana kwa jamii ili uweze ku-supply hicho.

Idea za ku-diversify nimeshaziona nyingi hapa JF under business forums so a simple search of key word biashara should give you several.

Kila la heri... umeanza vizuri!
 
Kwa hiyo m25 kuna biashara nyingi sana za kuanzisha.Kwanza nakupongeza kwa kuingia kwenye ujasiriamali ambao wengi wanauogopa.
Unaweza kuni pm tuka share experience nipo kwenye hiyo idara kwa muda mrefu.
 
Pal .... good spirit .... !!!

i wish you a successful venture
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom