Chrisludos
Senior Member
- Oct 12, 2012
- 135
- 41
wachinawamestuka wanapata hasara kwa ajili yako
mkuu, cha kwangu kina miezi kadhaa hakionyeshi chochote,ila ukizima na kukiwasha baada ya kama dakika tano kinaonyesha kwa kama sekunde 30 halafu kinaandika NO SERVICE,nimeshawapigia simu startimes mara nyingi lakini hawajanipa solution yoyote zaidi ya kuniambia niende kwenye ofisi zao ambapo hata nilipokwenda waliishia kuniuzia antenna ya nje,na bado haijasaidia lolote Star times ni wezi!!
Are you certain kwamba antenna positioning ipo sawa? haija-move even for an inch? haijazuiwa na kitu chochote hata kama kwa mbali kidogo ambacho hapo zamani hakikuwepo (especially kama ni indoor antenna?)!Mimi ni mtumiaji wa king'amuzi cha Startimes,japo sijalipia package yoyote kwa muda wa miezi 3 kwani ni muangaliaji wa local channels zaidi na labda uchumi unachangia.
TATIZO
Kwa muda wa wiki moja sasa napata TBC1 pekee,tatizo ni nini?Naomba mwenye kufahamu anijuze,kwani hata katika channel list zimebaki channel chache japo sina access nazo na local ndo hazipo kabisa.
Mimi ni mtumiaji wa king'amuzi cha Startimes,japo sijalipia package yoyote kwa muda wa miezi 3 kwani ni muangaliaji wa local channels zaidi na labda uchumi unachangia.
TATIZO
Kwa muda wa wiki moja sasa napata TBC1 pekee,tatizo ni nini?Naomba mwenye kufahamu anijuze,kwani hata katika channel list zimebaki channel chache japo sina access nazo na local ndo hazipo kabisa.
mkuu, cha kwangu kina miezi kadhaa hakionyeshi chochote,ila ukizima na kukiwasha baada ya kama dakika tano kinaonyesha kwa kama sekunde 30 halafu kinaandika NO SERVICE,nimeshawapigia simu startimes mara nyingi lakini hawajanipa solution yoyote zaidi ya kuniambia niende kwenye ofisi zao ambapo hata nilipokwenda waliishia kuniuzia antenna ya nje,na bado haijasaidia lolote Star times ni wezi!!
Hovyo sana hawa wachina...