Mimi nilidhani tv yangu mbovu yaani startimes sijui wanaugomvi gani na IPP mediaStartimes washenzi kweli
wanamatatizo geni na chanel za itv na eatv taarifa ya habari wanaweka
black screen tangu lipumba akiongea...mpaka sasa wameweka black hata
wakati wa mdahalo katkata.. hivi ving'amuzi vya wachina shida tupu. Itv
hebu waulizeni kulkoni tuhamie azam king'amuzi
Njoo Azam tv mdau.
me nimeukimbia huo upuuzi.