Kwa mujibu wa aliyekuwa waziri wa habari
Nape Nnauye, akiongozana na wajumbe wa kamati ya bunge chini ya mwenyekiti Peter Serukamba walipotembelea ofisi za TBC, waliambiwa matatizo yanayolikumba shirika hilo..
Nape aliyekuwa bosi wa wizara, alitoa maoni yake binafsi kuwa TBC inahitaji maboresho makubwa yanayohitaji pesa nyingi.. Hakuishia hapo bali alienda mbali na kusema "Wamekaa na wadau mbali mbali ikiwemo mamlaka ya mawasiliano nchini
TCRA, na wakashauriwa ili shirika liweze kuwa la kisasa zaidi ni lazima lijiendeshe kibiashara zaidi tofauti na ilivyokuwa". Yaani TBC iondolewe kwenye channel za bure na iwekwe kwenye zile za kulipia ..
Hivyo mdau hapo juu ya kupasa kutambua kuwa, mojawapo ya taasisi za umma zinazoongoza kuwakandamiza waTANZANIA wa leo,
TCRA ni mfano ulio hai kwani hakuna jema walilowahi kuwafanyia waTANZANIA hata siku moja ..
[HASHTAG]#kulipia[/HASHTAG] habari wao
[HASHTAG]#kuzima[/HASHTAG] simu wao
[HASHTAG]#kupandisha[/HASHTAG] cost za mawasiliano wao