Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
HujaelewekaLeo ni siku ya nne channel za ndani sizioni zile za bure mara ya kwanza nilizani ni kwenye king'amuzi changu tu labda sasa nimefuatilia kwenye ving'amuzi vitatu naona hali hiyo hiyo kwa ambaye anafahamu atujuze kama hizi local channel zimeondolewa au la?
ujumbe murua kabisaPoleni sana mnaoangaikaga na chaneli za ndani. Mimi hata kama zipo siwezi ziangalia hata siku 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana mnaoangaikaga na chaneli za ndani. Mimi hata kama zipo siwezi ziangalia hata siku 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilishahama huko, wanazengua sana hao.Tafuta kingamuzi chenye akili.Leo ni siku ya nne channel za ndani sizioni zile za bure mara ya kwanza nilizani ni kwenye king'amuzi changu tu labda sasa nimefuatilia kwenye ving'amuzi vitatu naona hali hiyo hiyo kwa ambaye anafahamu atujuze kama hizi local channel zimeondolewa au la?
TV 1