komandoyosso
New Member
- Oct 11, 2017
- 1
- 0
habari zenu!
tafadhari startimes tunapenda kutoa tahadhari, kuwa huduma hii ni ya kitapeli, tumeshapokea malalamiko mengi kwa wateja wetu kuhusu kutapeliwa na mtu huyu. Tafadhari tunaomba mchukue tahadhari kwa hili.
hivi sasa startimes tumeshafikisha taarifa vyombo vya sheria, na kwa kushirikiana na jeshi la polisi tumeunda timu yetu kwa ajili ya kumnasa mtu huyu.
maelezo tafadhari piga 0764700800-0677700800
Namba zake hizo mpigieni mumkamate. Au mnamuogopahabari zenu!
tafadhari startimes tunapenda kutoa tahadhari, kuwa huduma hii ni ya kitapeli, tumeshapokea malalamiko mengi kwa wateja wetu kuhusu kutapeliwa na mtu huyu. Tafadhari tunaomba mchukue tahadhari kwa hili.
hivi sasa startimes tumeshafikisha taarifa vyombo vya sheria, na kwa kushirikiana na jeshi la polisi tumeunda timu yetu kwa ajili ya kumnasa mtu huyu.
maelezo tafadhari piga 0764700800-0677700800
Wadanganye wenzio.vocha ya Vodacom na tigo wapi na wapi!?We jamaa inawezekana hii? Nimeiskia skia Ila bado siamini..wapo watakutafuta mzee huduma safi sana hiyo
Wadanganye wenzio.vocha ya Vodacom na tigo wapi na wapi!?
Wewe umesema huduma safi sana hii.Sasa Nani ka mdanganya Nani hapo?
Wewe umesema huduma safi sana hii.
Lazily watu wajue kazi za decoder ni Kama za simu. Kuna tigo Voda n. K.
Pia haiwezekani vocha moja ukatumia mwaka mzima.
Ok.washtue wenzio. Vocha ya Voda haiingii kwenye laini ya tigoSasa ni wewe ndio ungenistua Mimi na si kunifananisha na Tapeli ndugu...maisha yangu yame base ktk technology najua nilichomaanisha hapo kwa mtoa post
Msitupangie cha kufanya na nyie,c mna huduma mbovu sa tufanyeje,ngoja me nimfate tapelihabari zenu!
tafadhari startimes tunapenda kutoa tahadhari, kuwa huduma hii ni ya kitapeli, tumeshapokea malalamiko mengi kwa wateja wetu kuhusu kutapeliwa na mtu huyu. Tafadhari tunaomba mchukue tahadhari kwa hili.
hivi sasa startimes tumeshafikisha taarifa vyombo vya sheria, na kwa kushirikiana na jeshi la polisi tumeunda timu yetu kwa ajili ya kumnasa mtu huyu.
maelezo tafadhari piga 0764700800-0677700800
Ok.washtue wenzio. Vocha ya Voda haiingii kwenye laini ya tigo
Mc hizi umeua Star times wana huduma mbovu sana wawaache watu wapambane na hali zao.. star times walete ving'amuzi vyenye picha safi sio picha za ukungu ukungu.. na michannel ya bure wao wanauza ni utaperi kama mleta madaMsitupangie cha kufanya na nyie,c mna huduma mbovu sa tufanyeje,ngoja me nimfate tapeli
Mfate tu akunyoosheMsitupangie cha kufanya na nyie,c mna huduma mbovu sa tufanyeje,ngoja me nimfate tapeli
Ngoja ndezi wanakuja uwapige..
Nipo naangalia dstv kupitia star time mkuu so cjanyooshwa me ndo nawanyoosha startimeMfate tu akunyooshe
Wanakera mkuuMc hizi umeua Star times wana huduma mbovu sana wawaache watu wapambane na hali zao.. star times walete ving'amuzi vyenye picha safi sio picha za ukungu ukungu.. na michannel ya bure wao wanauza ni utaperi kama mleta mada
wanamuogopa hahahahNamba zake hizo mpigieni mumkamate. Au mnamuogopa