Startimes waja na kifurushi cha buku

Startimes waja na kifurushi cha buku

tutaongea lugha moja😀
wanapambana na hali yao
 
Hii itakuwa poa maana zamani ulikuwa ukiweka buku unakula siku takribani tatu Leo hii wakakitoa nikaachana nao. Li antenna lao limeanguka nikaweka store sasa nakula movie tu. Habari jf where we dare talk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Startimes ambao ni watoaji wa huduma za visimbusi kupitia masafa ya sattellite na terrestrial hatimaye wamekuja na kifurushi cha siku,wiki na mwezi
Sasa kifurushi cha buku kwa siku ukipiga buku mwezi mzima si inafika hadi elfu 30 jamani na kifurushi cha mwezi ni shilling elfu kumi na mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bora mtu uweke hizo buku mpaka elfu kumi na mbili ukalipie cha mwezi khaaa sijaona faida ya hicho kifurushi cha buku
 
Back
Top Bottom