vyote viko pouwa ...ila TING unapata uefa champion league..hiii iko chini ya ATN....STAR TIMES unapata tbc,chanel ten,clouds tv..EASY TV cjui kwa kweli ingawa inasifiwa...bt uamuzi ni wako..mkuu..zote bei pouwa...
Wadau nisaidieni nataka kununua kin'gamuzi cha bei poa kati ya startimes au ting au kingine chochote lakini si dstv
Pamoja na gharama zao,naomba pia kujua ni kipi ntapata itv,eatv,capital,ctn,dtv,clouds,atn,tbc1.
Au kama zote hazipatikani ktk kingamuzi kimoja basi nijuzeni kila king'amuzi kinakamata tv zipi za kibongo?
Mwisho ni kipi kina channel nzuri za nje ukiondoa za dini, napenda sana michezo,wanyama,documentaries, films na habari.
Your advice will be highly appreciated.
kama hazitoshi semeni niangushe dude jengine entertainment kwenda mbele we dont pay for shit its all free hope you enjoy
kama hazitoshi semeni niangushe dude jengine entertainment kwenda mbele we dont pay for shit its all free hope you enjoy
dstv nao wamepunguza bei zao unaweza wacheck pia
EASY TV bado ni bora kwa sasa
unapata movie chanel 4 kwa 24h
bbc,arabic movie,itv,eatv,ch10,capital,star tv,tbc,tvz,tv mlimani,ewtn/tumaini,cnn,c2c/dtv,sports,dubai sports,ktn,kbc,nation,ubc,citizen,euronews,peace tv,cctv 4,mtv,xing kong,phoenix china,channel V,al-jazeera,Ghana
Viongozi wetu wana mambo ya kitoto sana utadhani sio wasomi. Mimi nilijua tu kuwa hii tabia ya kukurupukia ving'amuzi itakuja watokea puani siku. Maana sio kwa shobo zile.Kuna tetesi Easy TV watadrop local channels kwa sababu za misigano ya kibiashara ambayo imeanza tayari. Hata msemaji wa TCRA bwana Mungy akihojiwa na Clouds fm jana asubuhi alisema kuwa Easy TV haihusiki kwenye mfumo wa sasa, ni kama DStv.
Therefore, kwa muelekeo wa sasa (digitali), vituo vya TV vinaambiwa vianze kuwalipa wenye ving'amuzi kiasi kikubwa cha pesa na ndio maana Mengi akayaona haya mapema na kuamua kuja na king'amuzi chake.
Jingine ni kuwa, kuna dalili TCRA wakashindwa katika battle ya kuwalazimisha wenye ving'amuzi waoneshe channel 5 free of charge. Hili linakuja kwa sababu wenye vituo vya TV wanagoma kuwalipa wenye ving'amuzi huku wakitegemea back up ya tcra kuwa lazima vionyeshwe bure.
Kifupi tcra walikurupuka, walikimbilia kuwaelimisha wananchi na kuwasahau wadau wakuu wa mfumo huu mpya wa digitali.