kwa maoni yangu Easy TV angalau wanaeleweka, unahakikishiwa movies channels kama nne from mbc1, mbc2, mbc3, mbc4 MBC max, MBC Action,
Documentary hawana,
Local channels wamejitahidi mpaka na recently wameongeza Clouds TV,
Nasikitika wameondoa Viasat ghana, ni nzuri sana kwa Series. KTN ya kenya nzuri kwa series, na wana Dubai sports 1, channels inaonyesha bundesliga league and some tennis. UEFA huna haja kuhangaika, TV za kenya, ATN wanaonyesha
Star times/TBC, wana beef na Mengi, kwa hiyo usitegemee ITV, EATV wala Capital, ila kidogo wana documentary na movies kidogo kwenye channels zao
TING wanadai wataweka HBO, kwa wale wanaoijua hii channel ni kiboko kwa movies, wana pia Discovery world - documentary kama star times, ila sio nzuri kama ile ya main Discovery ya DSTV. Ting wamebobea sana channels za Dini nyingi. Kuna AXN hawajaweka, lakini ni nzuri kwa reality shows kwa wanaume