Zote nshatumia,zko poa. Ila startimes inazingua kwenye kubadili storage,kutoka internal kwenda xtrnal,nikimaanisha kuwa huwez kutumia xternal storage kwaajili ya kudownload vitu,na ukitumia internal inawahi kujaa,nimejaribu kutumia xternal inazingua,mpaka nifute baadhi ya vitu kwenye intrnal storage