pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,964
- 4,250
Ni kweliNilichogundua kwa haraka ni kwamba wa tz wakishabaki na channel za ndani ambazo ndio za bure basi hawalipii kabisa channel za ziada.
Sasa mjue hao startimes wana familia zinataka kula,kuvaa na kusoma pia.
Kwa hiyo lazima wajiongeze tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari! Mbona mmetoa baadhi ya Channels kwa sasa hazionekani kama
Clouds
Tabibu
TV E
Dira
Tumaini tv
Mlimani tv
Na baadhi ambazo zilikuwa zinaonyesha Tatizo nini
Habari! Mbona mmetoa baadhi ya Channels kwa sasa hazionekani kama
Clouds
Tabibu
TV E
Dira
Tumaini tv
Mlimani tv
Na baadhi ambazo zilikuwa zinaonyesha Tatizo nini
Salama! Naishi mtaa wa Azimio, Kata ya Mabibo,wilaya ya Ubungo,katika orodha Zipo lakini hazionyeshi Kama local channelshabari yako, pole kwa usumbufu unaoupata, je unaishi wapi? na je chanel hizi zipo katika orodha ya chanel au hazipo?
Cha antena mkuu
Nyie wahuni tu me mliniambia kuwa nifike bamaga mkaniambia kisiri siri kuwa nilipie 45000/=Tsh ndo nizipate hizo niliwachukia nyie wahuni mnatangaza kuwa mnatoa chanel bure afu mnatutakisha pesa wezi wakubwa nyiehabari yako, tafadhari fika ofisi za startimes zilizokaribu nawe kwa msaada kuhusu local chanel