kilochindikipoporu
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 244
- 208
Nenda TCRA ukawasilishe kero yako tena itapendeza ukiwa na risiti ya malipo uliyofanya.Hii kampuni ya startime inako taka kutupeleka watanzania sikuzuri kabisa, tena hii kampuni ime kaa kiwizi wizi kunahaja wahusika kuichunguza sana, king"amuzi changu huwa kinaonyesha chaneli za nyumbani bure jana chanel zikagoma kuonyesha nikawapigia huduma kwa wateja muhudum akaniambia niweke T B C baada ya dakika 15 chanel zitafunguka, tangia jana mpaka sasa nime weka Tbc na chanel bado hazija funguka, Najiuliza hapa nimimi pekeyangu au tupo wengi tunao fanyiwa huu ujinga? Haiingii akilini mtu unalipia shs 450000 kwaajilitu loco chanel zionyeshe bure alafu nyie mnazikata ivi mnatuona sisi wa Tanzania ni mambumbu sanae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora wewe, mie kwangu nina miezi miwili naangalia tbc peke yake, hizo zingine hadi nifanye malipo.Hii kampuni ya startime inako taka kutupeleka watanzania sikuzuri kabisa, tena hii kampuni ime kaa kiwizi wizi kunahaja wahusika kuichunguza sana, king"amuzi changu huwa kinaonyesha chaneli za nyumbani bure jana chanel zikagoma kuonyesha nikawapigia huduma kwa wateja muhudum akaniambia niweke T B C baada ya dakika 15 chanel zitafunguka, tangia jana mpaka sasa nime weka Tbc na chanel bado hazija funguka, Najiuliza hapa nimimi pekeyangu au tupo wengi tunao fanyiwa huu ujinga? Haiingii akilini mtu unalipia shs 450000 kwaajilitu loco chanel zionyeshe bure alafu nyie mnazikata ivi mnatuona sisi wa Tanzania ni mambumbu sanae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda TCRA ukawasilishe kero yako tena itapendeza ukiwa na risiti ya malipo uliyofanya.
Kweli kabisa yani hawa dawa yao nikufanya mgomotu maana hawaeleweki loco chaneli waliambiwa waonyeshe bure wakafungulia ving"amuzi vya antena vyadish wakagoma wakasema mpaka tulipie shs45000 haya nimelipa hiyo pesa nabodo wamenikatia huu siwizi.Wale jamaa wanaendesha kijanjajanja sana kazizao niwezi sana hawa watu mie na tafuta mteja wa hii takataka lao si wakweli
Yes!!! na huu ndo ushauri bora kuliko, nowdays tcra wanawasikiliza sana wananchi. Cha msingi akawachongee kwa baba mwenye nyumba TCRA.
Nilichogundua kwa haraka ni kwamba wa tz wakishabaki na channel za ndani ambazo ndio za bure basi hawalipii kabisa channel za ziada.
Sasa mjue hao startimes wana familia zinataka kula,kuvaa na kusoma pia.
Kwa hiyo lazima wajiongeze tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu mimi nipo mtwara nifunge safari mpaka TCRA? Nianzie wapi sasa nishaurini
Sent using Jamii Forums mobile app
wapigie simu TCRA mkuu wangu au watumie email na watakujibu fasta. Sema ukiwapigia uwe na evidence ya unacholalamika ili hoja yako iwe na nguvu na waifanyie kazi ndani ya muda mfupi
[QUOTE="kilochindikipoporu, post: 30357435, member: 493736]
Haiingii akilini mtu unalipia shs 450000 kwaajilitu locol chaneli tu......
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kampuni ya startime inako taka kutupeleka watanzania sikuzuri kabisa, tena hii kampuni ime kaa kiwizi wizi kunahaja wahusika kuichunguza sana, king"amuzi changu huwa kinaonyesha chaneli za nyumbani bure jana chanel zikagoma kuonyesha nikawapigia huduma kwa wateja muhudum akaniambia niweke T B C baada ya dakika 15 chanel zitafunguka, tangia jana mpaka sasa nime weka Tbc na chanel bado hazija funguka, Najiuliza hapa nimimi pekeyangu au tupo wengi tunao fanyiwa huu ujinga? Haiingii akilini mtu unalipia shs 450000 kwaajilitu loco chanel zionyeshe bure alafu nyie mnazikata ivi mnatuona sisi wa Tanzania ni mambumbu sanae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda TCRA ukawasilishe kero yako tena itapendeza ukiwa na risiti ya malipo uliyofanya.
habari yako, tafadhari fika ofisi za startimes zilizokaribu nawe kwa msaada kuhusu local chanelBora wewe, mie kwangu nina miezi miwili naangalia tbc peke yake, hizo zingine hadi nifanye malipo.
Wale jamaa wanaendesha kijanjajanja sana kazizao niwezi sana hawa watu mie na tafuta mteja wa hii takataka lao si wakweli
habari yako, tafadhari tutumie namba yako ya smartcard kwa msaada zaidi!Kweli kabisa yani hawa dawa yao nikufanya mgomotu maana hawaeleweki loco chaneli waliambiwa waonyeshe bure wakafungulia ving"amuzi vya antena vyadish wakagoma wakasema mpaka tulipie shs45000 haya nimelipa hiyo pesa nabodo wamenikatia huu siwizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
+255 784558270
+255 22 2199760
+255 22 2199761
+255 22 2199762
+255 22 2199763
+255 22 2199764
+255 22 2199765
+255 22 2199766
+255 22 2199767
+255 22 2199768
Director General Direct Line +255 22 2199769
EMAIL dg@tcra.go.tz