ipo tanzania!! so ya watanzania
Kwa 9,000/= tsh tu kwa mwezi nasi tumeanza kuona EL classico, ingawa si HD!.Mimi with Abudhabi Sports naona mechi zote za mpira na matukio mbalimbali ya michezo duniani live kwa gharama ya dola 109 tu kwa mwaka na zote nazipata kwenye HD.
Wasiwasi wangu nao wasije kuwa kama DSTV,wakaanza kutuletea bei za ajabu kwenye hivyo vifurushi vyao kwa kupata kibali cha kuonyesha UEFA,maake'' Mswahili ukimsifia tembo hulitia maji''Leo kwa mara ya kwanza tumeweza kuona Live game ya BARCELONA NA REAL MADRID kupitia ving'amuzi vya StarTimes
sisi mambo kama haya ndo tunayataka hatutaki kwenda baa!!!
afu nasikia from next seasons UEFA YOTE mmepata RIGHT ZA KUONYESHA afrika nzima!! big up sana, jitahidini sana
pia kumbukeni kuboresha huduma zenu!!!!!
startimes ' the real for tanzanian, tumkomeshe bebari DSTV'
Leo kwa mara ya kwanza tumeweza kuona Live game ya BARCELONA NA REAL MADRID kupitia ving'amuzi vya StarTimes
sisi mambo kama haya ndo tunayataka hatutaki kwenda baa!!!
afu nasikia from next seasons UEFA YOTE mmepata RIGHT ZA KUONYESHA afrika nzima!! big up sana, jitahidini sana
pia kumbukeni kuboresha huduma zenu!!!!!
startimes ' the real for tanzanian, tumkomeshe bebari DSTV'
Usifurahie sana hiyo mechi ni kombe ambalo labda hata huko spain labda watu wanaona mechi kwenye channel za free. Sio la liga Nadhani DSTV ndio wana haki ya premiere ligi za nchi kama UK(premier), Spain(la liga), na Italy(siere A)
Ukiacha EPL mechi za la liga, serie A, ligi ya Uhalanzi, France n.k zinaonyesha Star Times, ingawa si zote. Kinachokosekana kwenye Star Times ni EPL tu, na Epl yenyewe zinakosekana live lakini za kurekodi zimejaa kibao. Kama utavumilia kutazama mpira huku matokeo unayajua, basi pia nazo zinaonekana.Usifurahie sana hiyo mechi ni kombe ambalo labda hata huko spain labda watu wanaona mechi kwenye channel za free. Sio la liga Nadhani DSTV ndio wana haki ya premiere ligi za nchi kama UK(premier), Spain(la liga), na Italy(siere A)