StarTimes Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 260
- 141
elekezea mlingoti wako kisarawe teh ipo siku watasema kuzimuHivi kwa nini CNN hamjaiweka?
bado tuelekeze mnara kisarawe?[/QUOTE/
mfumo wa DTT unamlazimu mteja ili apate masafa vizuri aelekeze antena yake iliko minara husika, hivyo tunawashauri wateja wetu ili wasipate usumbufu wa masafa (signa) waelekeze antena zao KISARAWE au MAKONGO kulingana na ukaribu wa maeneo husika na mahali unapoishi
nipo kigoma hapa kisarawe kwangu ni wapi?bado tuelekeze mnara kisarawe?[/QUOTE/
mfumo wa DTT unamlazimu mteja ili apate masafa vizuri aelekeze antena yake iliko minara husika, hivyo tunawashauri wateja wetu ili wasipate usumbufu wa masafa (signa) waelekeze antena zao KISARAWE au MAKONGO kulingana na ukaribu wa maeneo husika na mahali unapoishi
bado tuelekeze mnara kisarawe?
sijawai kuona huduma mbovu kama ya hawa jamaa ...dar tu imewashinda.....azam ndo kiboko yao wewe ngoja tu...wataangalia telenovela zao wenyeweArusha ving'amuzi tu vimewashinda kurekebisha, vikataka kata sana baadhi ya maeneo, hyo ya simu ndo mtaiweza? Kuwepo nchi 15 kunanisaidia nn mm mtanzania kama hapa Tz tu huduma inasuasua?. "Small is beautful", kma bado hamjajiweza ni bora mkawa eneo dogo na mkatoa huduma kwa ufasaha
bado tuelekeze mnara kisarawe?[/QUOTE/
mfumo wa DTT unamlazimu mteja ili apate masafa vizuri aelekeze antena yake iliko minara husika, hivyo tunawashauri wateja wetu ili wasipate usumbufu wa masafa (signa) waelekeze antena zao KISARAWE au MAKONGO kulingana na ukaribu wa maeneo husika na mahali unapoishi
Ninaishi Ilala. Nimeelekeza antenna kote huko bado nikawa sipati signal. Nikaenda ofisini kwao Malapa nipate ushauri nikapewa majibu ya hovyo. Ikabidi niwahame. Nikanunua King'amuzi cha kampuni nyingine
Ili kuwezesha huduma zetu kupatikana, maeneo yote ya Dar es Salaam, startimes inategemea kuzindua huduma ya satellite dish ambayo itatoa fursa kwa wakazi wote wa Tanzania kupata huduma za startimes. Chanel katika receiver za satellite receiver zitakuwa ni nyingi zaidi ya hizi zilizo katika mfumo wa DTT
Pia Startimes tumefanikiwa kuinunua kampuni ya TOP TV ya africa kusini na hivyo kufanya huduma za startimes kuanza kupatikana pia SOUTH AFRICA. Kwa mantiki hiyo huduma za startimes kwa sasa zinapatikana katika nchi zisizopungua 15 Africa na tunategemea kufungua huduma zetu katika nchi nyingine
Pia tumefanikiwa kuanzisha huduma ya MOBILE tv Kwa mkoa wa Dar es Salaam pia Arusha na tunategemea huduma hii kuenea tanzania mzima.
Arusha ving'amuzi tu vimewashinda kurekebisha, vikataka kata sana baadhi ya maeneo, hyo ya simu ndo mtaiweza? Kuwepo nchi 15 kunanisaidia nn mm mtanzania kama hapa Tz tu huduma inasuasua?. "Small is beautful", kma bado hamjajiweza ni bora mkawa eneo dogo na mkatoa huduma kwa ufasaha
Ninaishi Ilala. Nimeelekeza antenna kote huko bado nikawa sipati signal. Nikaenda ofisini kwao Malapa nipate ushauri nikapewa majibu ya hovyo. Ikabidi niwahame. Nikanunua King'amuzi cha kampuni nyingine
tafadhari kupata huduma bora ni haki yako na kukupatia huduma bora ni wajibu wetu, Ungewasiliana na supervisor wa eneo husika au ungepiga namba ya huduma kwa wateja kwa malalamiko zaidi, tafadhari tupatie namba yako ya simu (PM)
wise boy, habari yako, wateja wetu wengi arusha wanafurahia huduma zetu, kugandaganda kwa picha kunatokana na ufungaji usio sahihi wa antena yako au matatizo ya king'amuzi chako, tafadhari jaribu kuwasiliana na kituo cha huduma kwa wateja arusha watakupatia msaada ufurahie huduma zetu
Ili kuwezesha huduma zetu kupatikana, maeneo yote ya Dar es Salaam, startimes inategemea kuzindua huduma ya satellite dish ambayo itatoa fursa kwa wakazi wote wa Tanzania kupata huduma za startimes. Chanel katika receiver za satellite receiver zitakuwa ni nyingi zaidi ya hizi zilizo katika mfumo wa DTT
Pia Startimes tumefanikiwa kuinunua kampuni ya TOP TV ya africa kusini na hivyo kufanya huduma za startimes kuanza kupatikana pia SOUTH AFRICA. Kwa mantiki hiyo huduma za startimes kwa sasa zinapatikana katika nchi zisizopungua 15 Africa na tunategemea kufungua huduma zetu katika nchi nyingine
Pia tumefanikiwa kuanzisha huduma ya MOBILE tv Kwa mkoa wa Dar es Salaam pia Arusha na tunategemea huduma hii kuenea tanzania mzima.
Tatizo c kupatikana nchi kumi na tano za afrika ! Je huduma mnazowapa wateja wanaridhika nazo?hapa dar tu matatizo unaweza kukaa cku tatu huoni chanel yoyote na mtu umelipia kisa signal weak mala no service! Hata kama mkipatikana dunia nzima kama huduma zenu ndio hizi hizi haitakuwa na maana, na ndipo mtapata hasara kabisa kwani huko watoa huduma wapo wengi na huduma bora si hapa tz ushindani hamna wote ni wale wale tu.