Startimes king'amuzi kinahitajika

Startimes king'amuzi kinahitajika

Mkali_01

Senior Member
Joined
May 13, 2015
Posts
166
Reaction score
117
Habarini wadau,
Nahitaji king'amuzi cha startimes ambacho kimetumika. Kipya nimeahindwa bei. Nipo arusha namba ni 0717 602392
 
habarini wadau,
nahitaji king'amuzi cha startimes ambacho kimetumika. Kipya nimeahindwa bei. Nipo arusha namba ni 0717 602392

duu uko mbali sana mimi ninacho niko dar kimekaa tu baada ya kununua cha azam ila kama utapata mtu wa kumtuma aliyepo dar wasiliana nami no. 0713 689665
 
duu uko mbali sana mimi ninacho niko dar kimekaa tu baada ya kununua cha azam ila kama utapata mtu wa kumtuma aliyepo dar wasiliana nami no. 0713 689665

kula 20,000 fasta
 
Mwenye king'amuzi cha Azam anishtue mana kuna 50,000 hapa ya papo kwa papo
 
Wakuu naona kinya bado sijapata kingamuzi cha startimes
 
Wadau mbona kimya.. bado nahitaj kingamuzi
 
Kaka ni bora ununue kipya mana ni gharama na ni salama zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom