Startimes ipo nyuma ya nani?

Hivi ving'amuzi vitakuwa kama line za sim,we ngoja utaona
 
Startimes = TBC = CCM.
Hapo usitegemee ubora wowote since wanahusiana na CCM!!

Hivi hii CCM inaongozwaga na watu wasio na damu! Hawa ni majini jamani! Wanaiba kila kona jaman! Madini, BOT, TANESCO, DECI........!
 
Startimes ni mradi wa CCM kukusanya pesa kwa ajli ya uchaguzi 2015....yani ni hovyo kabisa.
 
Ndugu yangu NCHI HII ILIYO CHINI YA UTAWALA WA CCM NI NCHI MBAYA SANA KWA SASA, SABABU KUBWA YA KULETA VINGAMUZI NI KUHAKIKISHA WANANCHI WANAKOSA MATANGAZO YANAYOHUSU CDM, NI MBINU ILIYORATIBIWA NA CCM.. Sasa usishangae yanapotokea hayo.. Na usishangae serikali ya ccm itaka kumya!
 
Tusubirie kidogo tu watarejesha tena ving'amuzi kurekebishwa ka Kawambwa alivyorejesha matokeo baraza la Mitihani ili yachakatwe kwa upya. Chezea CCM wewe!!!!!!!!!!!!!
 
HEBU NIWASHE TV ..... scratches..... scratches..... scratches....

yani acha tu skrachi balaa watakua wamezima mtambo m1 either makongo au kisalawe sirikali imetuingiza mkenge na dijitale yao startimes inaboa sana ngoja nizichange niende digitek nako huko sijui itakuaje mliman nao wakijitoa? Cc TCRA
 
Last edited by a moderator:
Mnaangalia Chanel ngapi kwa siku. Mimi moja kwa ajili ya taarifa habari inatosha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…