Leo ni siku ya tatu toka nilipie king'amuzi kila nikiwasha tv inaonyesha kwa sekunde chache kisha yanatokea maandishi 'no service' mjue nimelipia ili nipate habari na yanayoendelea nchini kwetu na nje na pesa yangu ikiisha muda wake, nyie mnakata huduma hamna fidia kwa hii 'no service ' iliyopo sasa kwenye tv screen, naomba tuheshimiane kwa hii hali ilivyo sasa! kama mmeshindwa kupambana na hali yenu msituvishe tai ya moto, bwageni manyanga.
Mkuu
Hapo Unachotakiwa Kufanya Chukua Remote Yako Bofya Hiyo Button Ya Katikati Halafu Fanya
Selection Hadi Hapo Kwenye Channel Search
Bofya Button Ya Katikati Itakuwa Manual Na Automatic
Sasa Wewe Chagua Automatic Ubofye Katikati
Itafanya Search Ikimaliza Zitaonekana