StarTimes acheni kututesa wateja wenu

KIMIYAKIMIYA

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
230
309
Leo ni siku ya tatu toka nilipie king'amuzi kila nikiwasha tv inaonyesha kwa sekunde chache kisha yanatokea maandishi 'no service' mjue nimelipia ili nipate habari na yanayoendelea nchini kwetu na nje na pesa yangu ikiisha muda wake, nyie mnakata huduma hamna fidia kwa hii 'no service ' iliyopo sasa kwenye tv screen, naomba tuheshimiane kwa hii hali ilivyo sasa! kama mmeshindwa kupambana na hali yenu msituvishe tai ya moto, bwageni manyanga.

IMG_20171031_192329.jpg
 
Mkuu wahame hao hamia AZAM au DSTV
Kingamuzi cha Startimes kwa namna moja au nyingine ni Mkombozi kwa sisi watu wa kipato cha Makinikia...!!

Azam tv ama Dstv wengi tuna imani wamewalenga Mabwanyenye.

Yote ya yote ni kuwa, kila Mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake.
 
uoga wako tu
 
Mkuu
Hapo Unachotakiwa Kufanya Chukua Remote Yako Bofya Hiyo Button Ya Katikati Halafu Fanya
Selection Hadi Hapo Kwenye Channel Search
Bofya Button Ya Katikati Itakuwa Manual Na Automatic

Sasa Wewe Chagua Automatic Ubofye Katikati
Itafanya Search Ikimaliza Zitaonekana
 
Ahsante kwa ushauri
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom