Startime!!

middo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
207
Reaction score
56
Habar wadau..naomba kujua jinsi gan ntazirudisha channel kwenye list yake, king'amuzi changu kmepoteza baadhi ya channel kama clouds tv na tv 1, nmejarbu kusearch ila znarudi zlezle tu. Naomben msaada
 
umelipia?
 
antenna haijakaa vizuri,izungushe ielekee katika muelekeo sahihi kisha fanya "automatic search"
 
moja kati ya faida ya digitali juu ya analog ni kwamba chanell zinakaa kwenye frequency moja tu. sasa mambo ya kuzungusha antena ili upate chanel nyengine si ndo tunarudi kule kule tulipokimbia?
 
kama antena imekaa vibaya basi zingeonekana kwenye channel list lakin ukiziweka zkatae lakin hata kwenye chanel list hazipo
 
Kabla ya kusearch kwanza angalia signal status. Nenda Menu>settings>system settings> signal status. Kama singal iko chini sana ni vigumu kupata channel zote bila shida. Zungusha antenna hadi singal iwe angalau 36 na kuendelea. Kisha search tena channel.
Ni kweli kuwa chanmel hazipotei kama signal ikishuka ila hazitaonyesha lakini ukisearch wakati signal iko chini sana zinapotea. Nasubiri jibu.
 
kama antena imekaa vibaya basi zingeonekana kwenye channel list lakin ukiziweka zkatae lakin hata kwenye chanel list hazipo

Mkuu hata mimi nilikuwa na tatizo km lako lkn nili auto search zaidi ya mara tano at the end channel zote zikawa fresh. Nakushauri fanya kama nilivyofanya.
 
moja kati ya faida ya digitali juu ya analog ni kwamba chanell zinakaa kwenye frequency moja tu. sasa mambo ya kuzungusha antena ili upate chanel nyengine si ndo tunarudi kule kule tulipokimbia?

Ina maana dish likipoteza mwelekeo halipotezi channel? Na likipoteza si linawekwa sawa? Naye huyu antenna yake imepoteza mwelekeo, kwa hiyo inabidi irudhishwe kwenye mwelekeo wa Kisarawe au Makongo, akipata signal kuanzia 60 atapata channel zote, ni sawa na kulirudisha dish kwenye mwelekeo.
 
signal ilikua 48, tanesco wamechukua umeme wao, ukirud ntatoa mrejesho nipate msaada zaid
 
lazima signal ifike 60? Mimi tangu asubuh kla nikijarbu inacheza 39-48, kwan inaweza ikawa ndo tatzo?
 
Lazima ifike 60, kwa sababu kuna baadhi ya channel signal zake ziko kwenye 60. Rekebisha antenna kwa utulivu, au kama vipi waite wenyewe waje kukurekebishia.
 
startimes inatumia frequency moja kuonesha chanell zote kama vile mengi anavyotumia frequency moja kuonesha capital tv, itv, eatv. je inawezekana dish likacheza itv na eatv zionekane halafu capital isionekane?
 
Hapana Chief sio frequency moja! Jaribu kufanya auto search halafu inaposearch angalia jinsi frequency zinavyobadilika kuanzia 4+ hadi 6+
 
poa wadau nmefunga antena mpya wanazouza wenyewe, nmesearch tena zmerud zote hadi zile nilizozilipia ambazo zilipotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…