Masika
JF-Expert Member
- Sep 18, 2009
- 723
- 30
Habari wana technologia,
nina pc yangu aina ya ibm,nlikuwa natumia jana gafla ile batan ya start ikapotea nika restart lakini imekuwa vile vile:
N:b nili install avg antvirus ikasababisha comp kuwa slow nikaamua kuindoa baada ya hapo ndo matatizo yaka anza.
Inafanya kazi sema hizo batan hazionekani mpaka ni tumie short cut
ie ctrl+alt+del ndo naweza kwenda kwa system menu,pia nimejaribu
ku customize desktop na kutumia control panel customize taskbar and start menu lakini start menu haifunguki ili nibadili setting.
Naombeni mnipe maujanja nifanyeje
ctrl+esc hairespond
window batan hai respond