Digital Marketer
Senior Member
- May 1, 2019
- 112
- 149
Ungeivunja vunja kidogo hyo mil 500 watu wangeelewa zaidi..
Ujenzi
Kushusha mzigo
Wafanyakazi
N.k
Poa poa mkuu...weka bei za fuel dispenser,kuchimba visima,n.kSawa mkuu ntakuja na makala nyingine kwa undani zaidi
Mkuu fanya uchambuzi was hiyo fedha je Ni including petrol pumps eg. 3 mbili za diesel na moja petrol, jengo/Banda, ofisi na mzigo let say 70 elfu petrol na diesel ili tuandae project proposal
Pia mkuu akumbuke kuna Petrol station na Filling stationSawa mkuu
Petrol pumps ni ukiziangalia mtandaoni ni 2M to 5M za kitanzania...! Ukiweka kodi utajua ni kiasi gani na gharama za usafirishaji...Mkuu fanya uchambuzi was hiyo fedha je Ni including petrol pumps eg. 3 mbili za diesel na moja petrol, jengo/Banda, ofisi na mzigo let say 70 elfu petrol na diesel ili tuandae project proposal
Yeah filling station ni rahisi zaidi...Pia mkuu akumbuke kuna Petrol station na Filling station
Tofauti Kati ya petrol/filling station Ni Nini?Yeah filling station ni rahisi zaidi...
UYeah filling station ni rahisi zaidi...
SijuiTofauti Kati ya petrol/filling station Ni Nini?
Angaisha kichwa... Kama kweli una itaji hii biashara... Huwezi kosa taarifa sahihi... Ukikosa basi hii si biashara unayo ilenga ila una penda tu kuisikia basi...!JE URAHISI WAKE UKO WAPI MKUU WENGINE HATUJUI UENDA NDO BIASHARA NZUZRI KUFANYA
U
1,000,000/5000=200To start a petrol station you need a capital of 450 million tz shillings to 500 million tz shillings.
And you make a profit of 1M and more just selling 5000 liters a day.....assume you in a busy environment...you would probably sell more.
So dear local investors ni mda wa kuvunja kibubu.
Grab the opportunity and come and thank me later.