VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Leo imeishinda timu ya Taifa ya Kenya kwa goli moja kwa bila.Goli la ushindi limefungwa na beki Aggrey Morris dakika ya 7 ya mchezo. Hatahivyo,Stars na Harambee Stars walicheza chini ya kiwango.