Starlet inauzwa

Starlet inauzwa

Bhbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
714
Reaction score
210
Wakuu habari za majukumu. Nauza gari Toyota Starlet, iko kwenye hali nzuri sana, kwa maana kwamba haijatumika tangu iagizwe toka Japan. Imetembea 124,881 km, engine capacity ni 1330 cc. ina seats 5 na milango 4. Ina rangi ya Dark-blue. Bei inaanzia 7.5m. Kama unahitaji please ni Pm au nitafute kwa no. 0716-888288. Picha nimeambatanisha hapo chini.
 

Attachments

  • IMG_20140805_163504.jpg
    IMG_20140805_163504.jpg
    330.9 KB · Views: 275
  • IMG_20140805_163647.jpg
    IMG_20140805_163647.jpg
    223 KB · Views: 228
  • IMG_20140805_163708.jpg
    IMG_20140805_163708.jpg
    236.3 KB · Views: 222
  • IMG_20140805_163953.jpg
    IMG_20140805_163953.jpg
    209.8 KB · Views: 225
  • IMG_20140805_163906.jpg
    IMG_20140805_163906.jpg
    225.6 KB · Views: 238
wakuu habari za majukumu. Nauza gari toyota starlet, iko kwenye hali nzuri sana, kwa maana kwamba haijatumika tangu iagizwe toka japan. Imetembea 124,881 km, engine capacity ni 1330 cc. Ina seats 5 na milango 4. Ina rangi ya dark-blue. Bei inaanzia 7.5m. Kama unahitaji please ni pm au nitafute kwa no. 0716-888288. Picha nimeambatanisha hapo chini.


hizo picha nyingine wakuu.
 

Attachments

  • IMG-20140802-WA0001.jpg
    IMG-20140802-WA0001.jpg
    117.4 KB · Views: 213
  • IMG-20140802-WA0004.jpg
    IMG-20140802-WA0004.jpg
    37.7 KB · Views: 202
  • IMG-20140802-WA0002.jpg
    IMG-20140802-WA0002.jpg
    63.2 KB · Views: 203
  • IMG_20140805_163757.jpg
    IMG_20140805_163757.jpg
    214.2 KB · Views: 216
  • IMG-20140807-WA0003.jpg
    IMG-20140807-WA0003.jpg
    111.8 KB · Views: 201
haijatumika ila toka itoke japani ietembe kiloita hiziii.mbona haueleweki
 
haijatumika ila toka itoke japani ietembe kiloita hiziii.mbona haueleweki

Hii Gari maana yake ni 'used' huko ilikotoka (Japan)
Lakini kwa hapa ilipo sasa (Tanzania) haijatumika, Kitu gani hakieleweki hapo?
 
Hii Gari maana yake ni 'used' huko ilikotoka (Japan)
Lakini kwa hapa ilipo sasa (Tanzania) haijatumika, Kitu gani hakieleweki hapo?

Kuna watu huwa wanapenda kujichanganya wenyewe mkuu, achana Naye huyo. Ukute ashavimbiwa ugali wa shemeji basi hana kazi ila kukosoa kila post humu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom