Starlet..Inauzwa

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
594
Reaction score
163
Wadau...back again na biashara...nauza gari yangu aina ya starlet ya silver....ipo katika hali nzuri sana na no ni bvf.....call kwa wenye uhitaji tuuu. 0652590519




 

Attachments

  • 1392024910646.jpg
    89.3 KB · Views: 1,513
  • 1392024947384.jpg
    106.7 KB · Views: 1,553
  • 1392024969391.jpg
    60.2 KB · Views: 1,466
Make : Toyota
Model : Starlet
Colour : Silver
Year : 1998
Engine Capacity : 1330
Fuel used : Petrol
 
gari iko vizuri kwa muonekano wake...il bei cjui itakuwaje kwa 5.1m tungefanya bz
 
daaah... mkuu hapo bila mil 6 ni ngumu sana kuiachia kwa kweli...
 
kaka si utaikagua gari...we njoo uicheki afu uone... GRAde
 
Last edited by a moderator:
Hii ni gari ya ndoto yangu. Mungu akijaalia next year nauvuta huu mkoko.
 
Kweli hzo km?
52130....km toka 1998 (miaka 17) basi itakuwa haitembei sana
Bado ipo Mji gani? Dar
Mm nimeipenda hiyo Noah itabeba familia kuliko 6m naongeza 2m Mkuu
 
imetulia sana mkuu,nakutakia kila la kheri upate mteja aisee
 
Blsd kumbuka ten per ya mungu mkuu
 
Hii ni gari ya ndoto yangu. Mungu akijaalia next year nauvuta huu mkoko.

Wee acha ujinga starlet gar ya ndoto yako?? Inaonyesha ni jins gan kichwan kwako hamna kitu..

Kama starlet ni gar ya ndoto zako ina maana hata kichwan kwako huna ndoto ya kufanya vitu vikubwa..

Waza Range ukikosa Range ukaangukia hata kwenye prado utajipa moyo umejaribu..

Haya umewaza starlet ukikosa starlet si utaangukia kwenye guta??

Waza vikubwa jombaa utatoboa..
 

Sikiliza naomb nimtetee.! We ndo huna akili, unanunua gari likutumikie au ulitumikie..???

Yeye kaona starlet n economy, haili mafuta bali inanusa! Na shida yake n limtumikie gari na sio yeye alitumikie gari! hujawah ona tajiri ana range na terios it mean range inakaa ndan den terios ndo inamtembeza mjini coz n economy!

So hawez kuwaza huko coz anajua life na sio kama ww unaekaa kuanz kusema watu vibaya!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…