Starlet inauzwa Dar es Salaam 5.3m

Starlet inauzwa Dar es Salaam 5.3m

bribaki

Member
Joined
Dec 4, 2013
Posts
59
Reaction score
6
manufacturer: toyota
model: starlet reflet
colour: green/black
Transmition: auto
man year: 1999

Gari ina music system na well maintained..serious buyers piga/wasap 0717297923 uje kukagua gari..karibuni sana
 
Attachments

  • 1428313240642.jpg
    1428313240642.jpg
    65.5 KB · Views: 309
  • 1428313271424.jpg
    1428313271424.jpg
    33.1 KB · Views: 237
Mkuu kuna vitu hujaweka sawa!
1. Kwa nini unauza...!!
2, Odometer...!
3. Reg n ni A,B au D??
 
Mkuu kuna vitu hujaweka sawa!
1. Kwa nini unauza...!!
2, Odometer...!
3. Reg n ni A,B au D??
majibu yako ni kama ifuatavyo mkuu
1. naiuza kwa sababu nahitaji kuclear gari yangu nyingine
2.odometer kama inavyoonekana kwenye picha ni 109,188
3.reg no ni B
karibu tuongee biashara mkuu
 
Duh!!! Hili gari hujauza tu hadi leo...

Ni mwaka sasa umepita tokea nione tangazo lako la mwisho la gari hili hili...

Nishaona unaiuza hapa kama mara nne au tano hivi tokea mwaka juzi...

https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=564170

mkuu ukweli ni kwamba niliahirisha kuiuza kwani watu hawakufika bei niliyokua nimepanga na nilipata pesa za kutolea gari yangu iliyokuja mwaka jana.nilitumia gari mpya hii ikiwa imepark na sasa nimefanikiwa kuuza gari na kuagiza nyingine ambayo iko karibuni kufika ndo maana nimeiweka starlwt sokoni
 
manufacturer: toyota
model: starlet reflet
colour: green/black
Transmition: auto
man year: 1999

Gari ina music system na well maintained..serious buyers piga/wasap 0717297923 uje kukagua gari..karibuni sana

Mpya inauzwa bei gani?
 
Bila shaka sasa utapata mteja...kila la kheri!!!

mkuu ukweli ni kwamba niliahirisha kuiuza kwani watu hawakufika bei niliyokua nimepanga na nilipata pesa za kutolea gari yangu iliyokuja mwaka jana.nilitumia gari mpya hii ikiwa imepark na sasa nimefanikiwa kuuza gari na kuagiza nyingine ambayo iko karibuni kufika ndo maana nimeiweka starlwt sokoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom