ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,738
- 60,395
Saa saba juu ya alama saa nikiitazama Nimeshaachana na Jacki sasa namfata Salama Saa kumi na mbili n'na appointment mademu wawili Achana na Lily ambae tutakutana saa mbili Jenny wa Mikocheni ambae sasa hayupo duniani Aliyekuwa akinisubiria pale Vatcan Kijiweni Amina na Semeni tunakutana kwa Macheni Na kila siku nawabadilisha tena kwa foleni Huo ndio uliokuwa mwenendo wa maisha yangu Mimi viwanja kujivinjari na machangu, oh ooh Niliona fahari-ii, yeah Starehe mi nilizifanyia papara Nilibadili mademu kama vidaladala Nikienda nimepanda hili, nikirudi lile Nilitamani starehe zote nizitawale Hata kumkumbuka Mola wangu ilikuwa ndoto Nilitekwa na ulimwengu kumbe naukimbilia moto Katika kubadili wasichana nilikubuhu Nilitembea na watoto wa geti, machangu na masista duu Ubaya kwamba condom sikuitambua Kwa kujua kwamba ladha ya mapenzi itapungua Kumbe nilikuwa ninapotea njia Niliyoshauriwa mimi niliyapuuzia Idadi ya wanawake ikawa lukuki Ikafika kipindi wengine nikawa siwakumbuki Ona, ona, aah Ona sasa yaliyonisibu kwa dada yake Bashiri Nilishamsahau kama tulishakutana kimwili Nilivyomuona, nikamtongoza tena Tena kwa mara ya pili Ona sasa, aah aah
Aaah ndege John on the beat mdukuzi endelea kuingiza vocal
Nipo best huwa nakuona kwa mbaaaliUmepotea sana best
Maybe na enzi zile mitandao sio kivileAhaaa huu wimbo ulifanya Ferouz apewe zawadi ya jeep na Mkapa,sijui ni kweli au chai za enzi zile
Nipo best huwa nakuona kwa mbaaali
Next time, I will 🤗Ndio unashindwa kabisa kunisalimia ata kwa ishara vibaya ivyo
Thanks for thisSaa saba juu ya alama saa nikiitazama Nimeshaachana na Jacki sasa namfata Salama Saa kumi na mbili n'na appointment mademu wawili Achana na Lily ambae tutakutana saa mbili Jenny wa Mikocheni ambae sasa hayupo duniani Aliyekuwa akinisubiria pale Vatcan Kijiweni Amina na Semeni tunakutana kwa Macheni Na kila siku nawabadilisha tena kwa foleni Huo ndio uliokuwa mwenendo wa maisha yangu Mimi viwanja kujivinjari na machangu, oh ooh Niliona fahari-ii, yeah Starehe mi nilizifanyia papara Nilibadili mademu kama vidaladala Nikienda nimepanda hili, nikirudi lile Nilitamani starehe zote nizitawale Hata kumkumbuka Mola wangu ilikuwa ndoto Nilitekwa na ulimwengu kumbe naukimbilia moto Katika kubadili wasichana nilikubuhu Nilitembea na watoto wa geti, machangu na masista duu Ubaya kwamba condom sikuitambua Kwa kujua kwamba ladha ya mapenzi itapungua Kumbe nilikuwa ninapotea njia Niliyoshauriwa mimi niliyapuuzia Idadi ya wanawake ikawa lukuki Ikafika kipindi wengine nikawa siwakumbuki Ona, ona, aah Ona sasa yaliyonisibu kwa dada yake Bashiri Nilishamsahau kama tulishakutana kimwili Nilivyomuona, nikamtongoza tena Tena kwa mara ya pili Ona sasa, aah aah
Saa saba juu ya alama saa nikiitazama Nimeshaachana na Jacki sasa namfata Salama Saa kumi na mbili n'na appointment mademu wawili Achana na Lily ambae tutakutana saa mbili Jenny wa Mikocheni ambae sasa hayupo duniani Aliyekuwa akinisubiria pale Vatcan Kijiweni Amina na Semeni tunakutana kwa Macheni Na kila siku nawabadilisha tena kwa foleni Huo ndio uliokuwa mwenendo wa maisha yangu Mimi viwanja kujivinjari na machangu, oh ooh Niliona fahari-ii, yeah Starehe mi nilizifanyia papara Nilibadili mademu kama vidaladala Nikienda nimepanda hili, nikirudi lile Nilitamani starehe zote nizitawale Hata kumkumbuka Mola wangu ilikuwa ndoto Nilitekwa na ulimwengu kumbe naukimbilia moto Katika kubadili wasichana nilikubuhu Nilitembea na watoto wa geti, machangu na masista duu Ubaya kwamba condom sikuitambua Kwa kujua kwamba ladha ya mapenzi itapungua Kumbe nilikuwa ninapotea njia Niliyoshauriwa mimi niliyapuuzia Idadi ya wanawake ikawa lukuki Ikafika kipindi wengine nikawa siwakumbuki Ona, ona, aah Ona sasa yaliyonisibu kwa dada yake Bashiri Nilishamsahau kama tulishakutana kimwili Nilivyomuona, nikamtongoza tena Tena kwa mara ya pili Ona sasa, aah aah
KabisaaMaybe na enzi zile mitandao sio kivile
Next time, I will [emoji847]