UsikaliliSio sifa , utapungukiwa nguvu za kiume
Uwezo wako wa kufikiri utafifia ,uchumi utayumba.
Nilishawahi kujaribuSalsa unacheza?
Sawa Mr KagameHujakosea, angalia usiishie kubambia.
Haya mambo tafuta pesa, yatakufuata wala hutayafuata. Kama unasoma jikunje haswaaa na uwe na malengo.
Starehe hazina mwisho na hakuna kuchelewa wala kutosheka. Chagua fungu jema, mengine yatakuja kijana
Mziki ulioshiba sio lazima uwasumbue majirani, inategemea nyumba yako iko je. Mimi napiga mziki wangu mzito kiasi lakini ukiwa kwenye uzio hausikiki, inategemea nyumba yako ilivyoInaonekana wewe ni mswahili sana eeh.
Mm binafsi napenda kusikiliza mziki wenye sauti ndogo kwa manufaa yangu bila kuwabugudhi wengine
Sizipendi hata kidogoVisingeli je unavipenda eeh?
VimekatazwaViroba
Ndumu ndio nini?Ndumu na K
Kuonja onja nini?Starehe yangu kubwa ni kuonja onja tu hayo mengine yanafata.
Nilishawahi kujaribu
Ila ilibaki kidogo nijikate mtama aseee
Wala siwezi
Kweli kabisa mkuu mziki ulioshiba hauna makelele kama jamaa anavofikiriaMziki ulioshiba sio lazima uwasumbue majirani, inategemea nyumba yako iko je. Mimi napiga mziki wangu mzito kiasi lakini ukiwa kwenye uzio hausikiki, inategemea nyumba yako ilivyo
YaapMnapenda vitu sawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa Mr Kagame
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe ni mkweli, kwa msisitizo umeiweka kwa avatar yakoNdumu na K
Wapi?ipo sehemu wanafundisha
Wapi?
Hapana sijapanga wala siishi uswahiliniinategemea mkuu kama unaishi uswahilini na umepanga chumba huna budi kusikiliza kimziki kidogo.