Star x

Star x

Mtakayote

Member
Joined
Apr 1, 2016
Posts
62
Reaction score
16
Habari wana jamvi wa technolojia,..

Nampango wa kununua tv anina ya star x inch 43 smart ivi hizi tv zina tatizo kwa ambae ametumia? na je, hiyo smart ni kwenye ina support internet youtube na vingine km smart tv zingine.. naomba mnishauri.. Asanteni in advance.
 
Back
Top Bottom