wakuu naomba kuuliza ubora wa hizi Tv aina ya Star x...nimeona bei zake ni nafuu mno ukilinganisha na Lg,samsung etc..kama zina ubora wa picha nikanunue fasta...nimeona 43' inauzwa laki 650000
wakuu naomba kuuliza ubora wa hizi Tv aina ya Star x...nimeona bei zake ni nafuu mno ukilinganisha na Lg,samsung etc..kama zina ubora wa picha nikanunue fasta...nimeona 43' inauzwa laki 6500000