Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,020 Reaction score 22,100 Aug 20, 2022 #21 Sasa kama niko kilomita mbili kutoka mwambao wa vyanzo vya maji ila serikali imeshindwa nifikshia maji ya uwakika. Unafikiri sensa itaenda kubadili kitu?
Sasa kama niko kilomita mbili kutoka mwambao wa vyanzo vya maji ila serikali imeshindwa nifikshia maji ya uwakika. Unafikiri sensa itaenda kubadili kitu?
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,859 Reaction score 61,922 Aug 20, 2022 #22 sihesabiwi
V vibesen xxx JF-Expert Member Joined Jul 23, 2022 Posts 3,185 Reaction score 6,645 Aug 20, 2022 #23 Sensa inasaidia zaidi serkali hasa za africa kukopa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,851 Reaction score 197,453 Aug 20, 2022 #24 Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...