Star TV Tanzania

Glisten

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
301
Reaction score
22
Naomba msaada.. Hapa kwangu kupitia Dishi siipati star tv ni mda sasa.. 2saidiane hapo ni kwamba haipo kwenye Frequency setelitte ama..
Msaada tafadhali 2nakosa vipindi Bomba..
 
sijui wewe ina muda gani mimi nina karibu miezi minne bila kuaona. hata kwenye list ya FTA HAIPO.
 
Yeah kwang ilipotea mda sana.!
 
Naomba msaada.. Hapa kwangu kupitia Dishi siipati star tv ni mda sasa.. 2saidiane hapo ni kwamba haipo kwenye Frequency setelitte ama..
Msaada tafadhali 2nakosa vipindi Bomba..

Naipata katika direxn moja na dst* katika kisimbuzi cha qsat
Yaani inavyoonesha iko eutelsat 36A @36ยฐE na sio intelsat 906 @64ยฐE Kama zilivyo local nyingine
Lkn katika hiyo satelite iko scrambled invyoonekana sio FTA lkn mm naipata bila shida maana kingamuzi changu kina capability ya ku unscramble channel zilizo achama kama hizo
 
startv na tbc ktk madish ya ft6 hazipatikani kabisa au signal iko chini.dish la ft 8 zinapiga mziga pasipo shida yoyote
 
Unatumia dish futi ngapi? Linapaswa kuwa ft nane kwenda juu ndo uipate, km ni chini ya hapo sahau!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ