Prince Nadheem JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 1,270 Reaction score 1,111 Feb 4, 2013 #1 wadau nimekuja na hii taarifa kuwa star tv inapatikana katika dstv kupitia channel 291ie baada ya tbc.
wadau nimekuja na hii taarifa kuwa star tv inapatikana katika dstv kupitia channel 291ie baada ya tbc.
Plesis JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 948 Reaction score 862 Feb 4, 2013 #2 kwa hiyo tbc imeondolewa kwenye dstv, oh no!
Prince Nadheem JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 1,270 Reaction score 1,111 Feb 4, 2013 Thread starter #3 Plesis said: kwa hiyo tbc imeondolewa kwenye dstv, oh no! Click to expand... hapana mkuu TBC ipo,yenyewe ni channel namba 290,so kwa maana nyingine ni kuwa kuna local channels mbili namely Star TV na TBC1. Tuko pamoja sasa mkuu??
Plesis said: kwa hiyo tbc imeondolewa kwenye dstv, oh no! Click to expand... hapana mkuu TBC ipo,yenyewe ni channel namba 290,so kwa maana nyingine ni kuwa kuna local channels mbili namely Star TV na TBC1. Tuko pamoja sasa mkuu??
F Fofader JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 864 Reaction score 301 Feb 4, 2013 #4 Asante prince kwa taarifa. Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2