MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,035
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la umeme Tanzania tanesco mhandisi Filichesmi mramba yupo live star tv na anasema changamoto kubwa waliyonayo tanesco ni miundombinu ya zamani na wananchi kuweka mazuio ya kimahakama pale Shirika linapotaka kupitisha miundombinu kwenye maeneo mbalimbali, ngoja tuendelee kumsikiliza