B Bangoo JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 5,597 Reaction score 1,016 Apr 12, 2012 #1 Kwa sisi tunaofuatilia kipindi cha bunge tumeshindwa kukiona kupitia star tv. Nadhani bunge limeshindwa kuwalipa ili watuonyeshe? Na ukizingata tbc haina uqwality kwenye matangazo yao?.
Kwa sisi tunaofuatilia kipindi cha bunge tumeshindwa kukiona kupitia star tv. Nadhani bunge limeshindwa kuwalipa ili watuonyeshe? Na ukizingata tbc haina uqwality kwenye matangazo yao?.
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,747 Apr 12, 2012 #2 Ni adhabu kwa Diallo kwa kuzembea kukisaidia chama.